Mkuu usisahau ukija tu lindi nicheki ukifika tu mitwero nishtueLindi kucheleeee
Ova
We ulitaka wilaya iweje? Iwe na malls, supermarkets, hoteli za nyota tano au
Hiyo hoteli niliyotuma hapo ni kuumbua hoja yako ya kwamba wilaya nzima utatafuta sehemu ya kupoa hakuna. Sasa nimekuwekea hiyo uone, najua umejisikia vibaya baada ya kuiona hiyo hoteli sema basi tu
Kwa jinsi ulivyokuwa unaiponda Ruangwa haikuonekana kuwa Ruangwa ni sehemu ambayo ingeweza kuwa na hoteli kama hiyo, sasa hivi nakuonesha picha za hoteli unasema siyo ajenda kubwa.... mbona sasa ulisema hakuna sehemu za kupoa?
Nikikuambia akili zako fupi utanikatalia mkuu. Shida umeishi Ruangwa miaka ya tisini![]()
Nimeshakera mtu tayariSiwezi bishana na wewe mtu wa kusini usie na exposure yoyote endelea kupigwa na vumbi uko

JF raha sana
hii imedesigniwa vizuri sana, nitapita hapo
kaliNimeshakera mtu tayariJF raha sana
Karibu Ruangwa mkuuView attachment 2465785View attachment 2465795View attachment 2465796View attachment 2465797View attachment 2465798View attachment 2465805
kwetu tarime fursa ni nyingi, tunamshukuru Mungu. mbunge hana mchango wowoteUpendeleo kivipi boss kwani hao wawekezaji wameshikiwa bunduki kwamba wasiende kwingine!? Mwambie Mbunge wako ajitahidi kuwavutia watamuelewa tu wala hakuna uchawi katika hili