ewaaaaaaa haya ndo Maneno unamaliza kula mchemsho viungo vyote mwilini vinasimama kusubir match ya taifa starzNdizi ng’ombe mkuu Old story: lakini sio kesiView attachment 1139961
Mkuu sisi pia tunaweza kudownloadNdizi ng’ombe mkuu Old story: lakini sio kesiView attachment 1139961
Hili ni dikodiko sio mchemsho na mahali pake ni kwenye ile mada ya chakula
Sichezi mbali na Chamdeko
Mkuu iyo bamia imenitoa mate🤣🤣🤣🤣katafute kama hizo alafu udownload
Na nyingine hii na uanangalie chombo nilichowekea (bakuri) zilivyofanana!View attachment 1139983
Hii mada huitendei haki ujueNdizi ng’ombe mkuu Old story: lakini sio kesiView attachment 1139961