Karibuni mchemsho

Karibuni mchemsho

Home kwako mzee? Umpika weye au shemeji?
Kama ni semeki usimuache na unipe uhakika kuwa humuachi na km ukiacha nipe mimi.

Nampenda sana kwa dhati kutoka moyoni tumeapa tutaishi milele mpaka tutembelee mkongoja

AMEEN IN SHA ALLAH
 
Back
Top Bottom