Karibuni mchemsho

Karibuni mchemsho

Aaaah Nifah: unaniangusha my wakati wewe ndio mpishi na maandalizi yote wewe ndio muhusika mkuu leo hii unanibwaga Mungu anakuona[emoji182][emoji182][emoji8]🥰

Thubutuuuuu! Yani kama huu ‘mchemsho uchwara’ ndio unausifia hadi kuuzia sura ndio ningekupikia mimi si ungeimba Helleluyah hadi uweke billboard Dunia nzima wajue? [emoji23][emoji23][emoji23]
Anyways, enjoy Mkuu.
 
Nifah: unanimaliza wee mtoto

Ebu tuwe kama Smart: na Mahondaw:
 
Back
Top Bottom