Ukijua sipo basi kazi yako kumwaga lazi sio ati Paloma..? Hii ya mtaroni na Bujibuji si uliapa kabisa kwa kushika kifanyia changu kwamba sio kweli na kwamba ulisingiziwa..?
Nina akaunti nyingine Bishanga.. Ngoja nikupe ili unishike sikio.. Maana shemeji yako Paloma amebadilika sana siku hizi.. Nataka niende kwa cheaters ili wanifuatilie nijue ni nani anaenidhuru..
Nina akaunti nyingine Bishanga.. Ngoja nikupe ili unishike sikio.. Maana shemeji yako Paloma amebadilika sana siku hizi.. Nataka niende kwa cheaters ili wanifuatilie nijue ni nani anaenidhuru..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.