acha umbea Arabela,au unatamani nikuchune ngozi?
Siyo umbea ni taarifa mi nitatoa mwongozo
Siyo umbea ni taarifa mi nitatoa mwongozo
mke wangu unajua nakupenda,shida nini,kwani kwenye friji kimepungua nini,gari yako haina maafuta? Simu haina credit? Hujavaa nguo mpya? Tulizana The secretary!
Yaniii........mi ndo natoka town now! Napitia hapo.....afu naenda lala!!!
Sent from my BlackBerry 0 using JamiiForums
Hahaa umevaa kichupi ? Au dera
unavitumiaga navyo bestito?
ponda raha kufa kwaja,we vipi ladyfurahia?
Pub marhaba,live band,warembo wa kumwaga,vich.upi nje nje na kaza wa kaza,wakware wote karibuni tujimwage,hilo libaba tumbo kubwa mtakaloliona kaunta ndo bishanga,bill yote juu yangu.
Kwani Kiranga nae anahusika hapo!?