Karibuni lamwidebe...

Karibuni lamwidebe...

Hao nimewashuhudia wakiuzwa kwenye soko la mpakani mwa tunduma (Tz) na nakonde (zambia), inasemekana kuwa ni watamu na wanaliwa hivyohivyo wakiwa wamekaushwa.
Sahihi mkuu, mi mwenyewe Mara ya kwanza nliwala huko
 
Hayo madude hunilishi hata uniwekee bastola kichwani. Kwanza nayaogopa sana sana sana hata yakiwa yamekufa, bora nikutane na cobra kuliko liduduwasha
 
Wazambia wanakula

Ova
Kwa hiyo akina kalusha bwalya,John soko,Mulenga,malitoli,eford chabala, Kaunda ndio msosi wao?
Tembea uone. Bukoba ( senene) Musoma ( michwa) Iringa ( [emoji3][emoji3][emoji3])
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom