ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,279
- 5,989
Chumvi huingii Mkuu?Sili hats km n dawa!
Chumvi huingii Mkuu?Sili hats km n dawa!
John Wick Chapter 3 mkuu vipi inatoka lini?Kingsman 3 inatoka November 9 mwaka huu. Naisubiri kwa hamu sana mkuu[emoji39][emoji39][emoji39]
John Wick Chapter 3 mkuu vipi inatoka lini?
Ndio hao haoSio hawa ni wale wanaokula majani ya mti wa nwembe hata wakiwa wabichi kuku hali
Nilikuwa sija waona vizuri ...aise ndio hao haoWanafanana na ile mi-washawasha mikubwa
kuku anakula muwa? Hali?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa io mdudu ambaye hata kuku hali binadamu kaamua kumla?
siku ukupungukiwa nguvu za kiume utakula tu pumbaf.Huu sasa ni Ulafi.... ptuuuu ..hao sili hata kwa fimbo Aise
kuku anakula muwa? Hali?
SHORT & CLEARsiku ukupungukiwa nguvu za kiume utakula tu pumbaf.