Yaonekana hata kwa machoTamu sana mkuu
Hapa napo pametulia, si habaMsosi wa Nani huu?
![]()
he he he nimekuja kwa spidi zote hata nyuma sikutazama...supu hii saa hizi na njaa nlokuwa nayo yarabi tobaaaa
shosti usije ingia kwenye computer tu!
Hahahahaha apo napanga mahesabu ningeipasua pilipili mbuzi nkaiweka ingechapukaaaaa...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Imebaki yakwako wengine tushakula
Honey Faith kwanini hutaki ata kushika?Duh!mie hapo sikaribii
Harafu uwe na kidate,mboa patachimbika,utatupia mbaya nyavuni.Si mnajua hali ya hewa ya baridi? Changanya na hii