Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Wewe unakula??
ukila wewe na mm nakula
Wewe unakula??
Haha pole kaka, sasa nikukaribishe kwa washika bunduki au??
wakisoma st kayumba cake ya taifa wataisikia kwenye bomba tu
Haha pole kaka, sasa nikukaribishe kwa washika bunduki au??
kawa kaka ako huyo tangu lini?
Washika bunduki lakini hazina risasi.Bora abaki kwa tajiri ale maisha
Afu wewe...... Kwanza nataka kujua why pm yko inafanya kazi??
Unataka niifunge?
Sio uifunge inatakiwa yenyewe iwe off....
Hebu nielekeze nifanyeje?
Unauhakika ni mwanamke??
Haha pole kaka, sasa nikukaribishe kwa washika bunduki au??