Karibuni kiporo cha uhuru

Karibuni kiporo cha uhuru

hahaha nilitaka nishangae umebadilika lini my kaka

Sio ndio hapo sasa! Nakwambia Huyu wifiyo ni nouma! Km mganga alipata! Maana dawa anajua haswaa! Yani mpk ngosha mie sijijui?! Kah..!
 
hata mi naona itabidi nije na mm anipe hayo maujanja
 
Sio ndio hapo sasa! Nakwambia Huyu wifiyo ni nouma! Km mganga alipata! Maana dawa anajua haswaa! Yani mpk ngosha mie sijijui?! Kah..!

Waganga wa kule milimani ni nomaaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom