Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 483
- 363
Hadi hatua gani ya ujenzi Boma na Choo?1 master bedroom
1 self room
1 single room
Sitting room
Kitchen
Store
Public toilet,
3 verandah (entrance).
BAJETI yetu ilikua ni 11.2M, Hadi tunamaliza kazi tumetumia 11.4M.
GHARAMA zimejumuisha materials pamoja na hela yangu ya Ufundi, maji, ndoo, chepe, Shimo la Choo (Hadi kufunika), pamoja na Kifusi.
HUIBIWI hata msumari mmoja, karibu WhatsApp +255 712 27 14 27 tuyajenge.
Nadhani Hiyo itakua ni bajeti ya boma na choo pekeeWeka picha zote Hadi ulivyofunika
Fundi mchundo,ni kampuni au fundi mchundo
Kazi safi na ya uaminifu ndo mtaji wangu, Ahsante mkongweKazi safi hongera
Kama picha zilivyojieleza, nyumba ni boma (Msingi hadi kozi 3 za juu), na shimo la Choo kuchimba, kujenga na kulifunikaHadi hatua gani ya ujenzi Boma na Choo?
Ahsante kwa kushiriki
Ni ujenzi wa boma tu, kilichofunikwa ni shimo la Choo (septic tank)Weka picha zote Hadi ulivyofunika
kama fundi mchundo Kwa hiyo bajeti sawa 👏Fundi mchundo,
also known as fundi maiko
IN REALITY;kama fundi mchundo Kwa hiyo bajeti sawa 👏
Hapo mbona ni karibu sana tu, krb inbox.Kiluvya kwa Sumaye unaweza kuja kufanya kazi?
Ili shimo la choo limecost shngpSeptic