Karibuni Chato Zoo and Hotel

Karibuni Chato Zoo and Hotel

Hela za wastaafu aliziiba akaenda kujenga utopolo wake.

Na ibaki magofu tu hio hotel kwa laana za wastaafu.
We Kima achana na marehemu pumbavu wewe mtu akili zako za mafi mafi tu,nani alikuonyesha hata kwamba kuna JF home of great thinker unaelewa maana yake.
Gorilla we kutoka milimani huko Congo usitutafute ubaya maana hapo ulipo tupo tutakupata tu msengerema wewe mjaa laana.
Na humu uondoke huhitajiki mavi yako.
 
Yaan kipindi kile yuko hai nikawa nawasikia watu wanasema chato itakuja kubaki kama ule mji wa mobutu nilikua siamini aseee! Ila sasa nimeamini dunia hadaa walimwengu shujaa! Siamini kama hata wale machawa wake washamsahu na chato ishasahaulika tayar! Hiv zile taa za barabaranzina hali gan? Yaan nataman kufunga safar nikaangalie hali halisi! Nahis limebak kaburi lake tu ndo zuri
Mungu fundi sana aisee
 
We Kima achana na marehemu pumbavu wewe mtu akili zako za mafi mafi tu,nani alikuonyesha hata kwamba kuna JF home of great thinker unaelewa maana yake.
Gorilla we kutoka milimani huko Congo usitutafute ubaya maana hapo ulipo tupo tutakupata tu msengerema wewe mjaa laana.
Na humu uondoke huhitajiki mavi yako.
We binti naona umelishwa mavi mabichi asubuhi asubuhi.

Kaswaki kwanza,uvae na pedi then urudi jukwaani uchumishwe mboga.
 
Chatu kumefulia kwa sasa hapana issue
Nadhani mwendazake angekuwepo chattle ingekuwa imeanza mchakato wa kuwa taifa huru...

Then ule mchakato wa kule uzuzuni wa "atake asitake ungekamilika " chattle ingeanza mchakato wa kuwa CHATO CONTINENT; ikiwa na nchi kama mbogwe, kakonko, muleba, Ngara, biharamulo, na katoro.
- Hakika lingekuwa bara la mfano Duniani
Note: chato asili yake ni kijiji hadi sasa kimevunja rekodi kijiji kuwa wilaya-mkoa(mchakatoni)
 
Vyovyote vile awe ameiba au hajaiba ila amejenga Tz na ajira wamepata watz Haina shida kabisa ila sio wale wanaiba wanaenda kujenga nje ya nchi
 
Hizo hotel.mbona za kawaida wala haihitajibkuiba..yaana miaka ya uwaziri wote na ubunge zaidi ya ishirini ndo angeshindwa kujenga kahotel kama hako..Hata mimi inagwa sijafanya kazi serikalini na mishahara yangu kwa mwezi haizidi million 6 nimejenga kama hizo tatu..sasa sembuse magufuri kwa mapato ya haki kabisa angeshindwa kufanya hicho..labda kama angejenga kempsiki ndo tungesema ameiba
 
Vyovyote vile awe ameiba au hajaiba ila amejenga Tz na ajira wamepata watz Haina shida kabisa ila sio wale wanaiba wanaenda kujenga nje ya nchi
Ujinga huu,kwani mafisadi wanaoiba hua hawatoi ajira hapa Tz kwa wananchi.Tusiwashughulike basi kwa sababu ni wadau wa maendeleo na wanalipa Kodi.
 
Magufuli alikuwa mwizi aliyejificha kwenye kivuli cha uzalendo
Acha maneno yako mkuu,

Mtu mwenye hadhi ya urais kumiliki kidubwasha hicho ndio iwe stori?

Mtu huyo huyo ambaye alishakua mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka 25?

Nnachokiona hapa Ni kampeni ya chuki dhidi yake kwa wasiokua wanampenda

Sawa huyu kaenda zake, basi tujadilini ukwasi wa mbaki zake wa awamu ya nne tujionee maajabu ya dunia
 
Yeye ndie alikua muasisi wa roho hizo za chuki, alikua anajifanya mnyonge kumbe anawachora tu.

Wa Msoga anajulikana Ni mpigaji na mali zipo za kutosha tu,Wala hakuwahi kujiliza Liza eti Mimi Ni mnyonge sijui Nini.
 
Nadhani mwendazake angekuwepo chattle ingekuwa imeanza mchakato wa kuwa taifa huru...

Then ule mchakato wa kule uzuzuni wa "atake asitake ungekamilika " chattle ingeanza mchakato wa kuwa CHATO CONTINENT; ikiwa na nchi kama mbogwe, kakonko, muleba, Ngara, biharamulo, na katoro.
- Hakika lingekuwa mfano Duniani
 
Acha maneno yako mkuu,

Mtu mwenye hadhi ya urais kumiliki kidubwasha hicho ndio iwe stori?

Mtu huyo huyo ambaye alishakua mbunge na waziri kwa zaidi ya miaka 25?

Nnachokiona hapa Ni kampeni ya chuki dhidi yake kwa wasiokua wanampenda

Sawa huyu kaenda zake, basi tujadilini ukwasi wa mbaki zake wa awamu ya nne tujionee maajabu ya dunia
Sasa kwanini alikua anajifanya anawachukia matajiri kumbe na yeye landlord aisee
 
Back
Top Bottom