Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
Polepole tu mtakubali marehemu alikua mwizi.Vyovyote vile awe ameiba au hajaiba ila amejenga Tz na ajira wamepata watz Haina shida kabisa ila sio wale wanaiba wanaenda kujenga nje ya nchi
Polepole tu mtakubali marehemu alikua mwizi.Vyovyote vile awe ameiba au hajaiba ila amejenga Tz na ajira wamepata watz Haina shida kabisa ila sio wale wanaiba wanaenda kujenga nje ya nchi
Nahiyo zoo hao wanyama kawatoa wapi nyara za serikali hiyo pesa ya kuwanunua kapata wapi?Hizo hotel.mbona za kawaida wala haihitajibkuiba..yaana miaka ya uwaziri wote na ubunge zaidi ya ishirini ndo angeshindwa kujenga kahotel kama hako..Hata mimi inagwa sijafanya kazi serikalini na mishahara yangu kwa mwezi haizidi million 6 nimejenga kama hizo tatu..sasa sembuse magufuri kwa mapato ya haki kabisa angeshindwa kufanya hicho..labda kama angejenga kempsiki ndo tungesema ameiba
Hamishieni na Bonde la ngorongoro hapo chato mzee.
😄😄😄 tunataka kuhamisha chato international airport kabisa tuipeleke Simiyu.Kwani Ngorongoro iko Kilimanjaro ? Na wewe hamisha Ziwa Victoria kama unaweza
Anaamini kwa hiko kimshahara cha mil 6 kwa mwezi nae anaweza kumiliki hao wanyama walioko ndani ya ekari1200.Nahiyo zoo hao wanyama kawatoa wapi nyara za serikali hiyo pesa ya kuwanunua kapata wapi?
Kama ni Simiyu sawa kabisa maana kote huko Ni nchi ya asali na maziwatunataka kuhamisha chato international airport kabisa tuipeleke Simiyu.
JS nyingine mnaijenga lini kahama?Kama ni Simiyu sawa kabisa maana kote huko Ni nchi ya asali na maziwa
😂😂😂View attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gani?
kweli watu mnamacho na si vidonda na hiki mmekiona!View attachment 2008191
Hicho ki veranda kwenye duara ni cha kazi gani?
kiukweli kabisa hata ningekuwa mimi sina uhakika kama ningetoka mtupu yaani niline asali na sina matatizo yoyote kisha ninawe mikono bila kulamba hapana kwa kweli.Majizi wenzake mnamtetea