Karibuni Chato Zoo and Hotel

Ndiyo maana alikuwa anapambana sana Biashara ya Nyama Pori ihalalishwe ili awalishe watalii Hotelini kwake?
 
Yaan kipindi kile yuko hai nikawa nawasikia watu wanasema chato itakuja kubaki kama ule mji wa mobutu nilikua siamini aseee! Ila sasa nimeamini dunia hadaa walimwengu shujaa! Siamini kama hata wale machawa wake washamsahu na chato ishasahaulika tayar! Hiv zile taa za barabaranzina hali gan? Yaan nataman kufunga safar nikaangalie hali halisi! Nahis limebak kaburi lake tu ndo zuri
 
Marehemu angekuwepo mpaka leo chato kungekua na mlima mrefu kuliko yote afrika
Alitaka kutumia wale wachina waliohamisha magorofa waje kuhamisha huo mlima waupeleke chato. ( Eti sio lazima Ile utalii uliozoeleka wa kaskazini tu hata kwingineko wazoee)
Utadhani Kama huyo mtalii akija huko kaskazini Kama sio Tanzania Bali ni Kenya.
Yaani jamaa kwa hapa sikumbali Ila yapo mengi nilimkubali sana
 
😀😀😀 kwa aibu hata wanyama watahama hii zoo yenu
 
Injinia mwitu anajenga hoteli anaweka hako kaveranda na hakuna hata mlango sijui kamekaa kufanya nini hapo juu ya mlango???? Kweli J alikuwa mwehu sana.
 
Acheni kunitafuta, vifaa vyote vilivyotumika kujenga ni vya hapahapa Tanzania, wanyama ni wetu sote na hela za kujengea ni za ndani* sasa shida iko wapi!
 
Bado miaka michache huo mlima barafu inaisha. Tuone sasa mtakacholingia. Mlima mlima ! Hadi mnakera. Chato ni wilayani na pataendelea kuwa mji na huenda iko siku itaizidi Moshi ambayo imedumaaa na ardhi hakuna.
 
Watu hawaelewi yule mwarabu loliondo kipindi chake kapeleka wanyama kibao dubai,mpk sasa dubai kuna bonge la zoo na wanyama wetu hawahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…