Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,190
- 27,356
Ni hoteli ya kisasa ambapo mtalii unaweza kujionea wanyama mbalimbali kama swala pala, zebra , nyumbu ngiri na jamii ya wanyama wengi wala majani.
Ipo katika eneo lenye takribani hekta 1200.
N:B Msiniulize mmiliki ni nani maana simjuwi.
Ipo katika eneo lenye takribani hekta 1200.
N:B Msiniulize mmiliki ni nani maana simjuwi.