Karibuni chakula

hii ndio raha ya kuwa na bibi, utakula na kusaza na kingine unafungiwa take away kabisa

asante bibi.
Nampenda sana yule mwanamke yaani kwake nimekuwa kama mtoto wa mwisho....... bibi's last born
Love you Bibi ......ta, lazima ule na kusaza halafu baadae anakuuliza umeshiba mwanangu, dah ngoja likizo ifike niende Tanga mie nshakukumbuka Bibi.
 
Huyo mzungu wa jirani naona ajutia kupanda hiyo ndege.

Maana hapo ni kelele nyingi za maongezi, kelele za vijiko na za hao walaji na harufu kali ya chakula khasa huo mchuzi ambao huyo mama ameuleta kwenye ndege.

:):)
Jamaa wamebeba wali mchuzi kula kwenye ndege ni hatari
 
1544910111216.jpeg
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom