Mama Debora wewe ni msaidizi wake Faiza Foxy?Kuna uzi maalum wa vyakula tu, huwa tunapost mambo kama haya kila siku.
Kwanini u create new threads kujaza server.
Umenikumbusha mbali sana. I miss those good days!hii ndio raha ya kuwa na bibi, utakula na kusaza na kingine unafungiwa take away kabisa
asante bibi.
msalimie sana babu...tunakuja kumaliza nanyi mwaka this holiday.Ni maandalizi ya Christmas na babu ana furaha ya kumaliza mwaka
hahaha ni zamu yetu sasa kurudisha those good days kwa wajukuuUmenikumbusha mbali sana. I miss those good days!