Moisemusajiografii JF-Expert Member Nov 3, 2013 41,974 73,213 May 8, 2017 #5 Mbona ni mboga peke yake?
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,518 13,135 May 8, 2017 #7 Hicho chakula anakula mwanaume au mwanamke?
sajumo JF-Expert Member Nov 20, 2013 1,834 1,055 May 8, 2017 #8 Hahahahaaa ujue kuna watu wanadharau hapo Mwanaume anakula anabakisha tena kabla hajaamza kula anasema kwa mbwembwe dah nna njaa balaa
Hahahahaaa ujue kuna watu wanadharau hapo Mwanaume anakula anabakisha tena kabla hajaamza kula anasema kwa mbwembwe dah nna njaa balaa