Doctizo Mtengwa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 818
- 1,484
Si ndio SasaAlafu kumwaga chakula ni mbaya
Kuna mdau unachukua muda kuelewa mkuu😂🤣
Au huko ulipo mkuu sio
njaa nuwari
🚶🚶🚶
Si ndio SasaAlafu kumwaga chakula ni mbaya
Hahahaha si unajua yuleDah! Mpe raha kitu inapenda.. mie sipo hewani na sipo dsm.. nipo na kina naomi tunakula sato
duh!! Nilikua sijakiona kile cha kufutia miguu kumbe nacho huuhaaa!!.hahahahahahah kmmmmmk
Mjini lazima watu wakimbieHahahaha si unajua yule
Sim sms balaaaa
Leo alipiga nkamwambia nko karibu na mtambo
Nliwasha blender ajue kuwa mashine inaliaaa kna kelele
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ukibakisha Ugali ,
Ugali Utakuwa msafi ,nausio na michuzi
Ugali huteleza kwenye sahani ya mboga hivyo utamega Kila mahali..
Pili sio heshima kula Ugali na mboga katka sahani moja...
Kwani sio makande hayo
Bro, ain't no mood to talk shit so please respect yourself.Kumbe mwamba huwa n Dem. Maana ugali ulivyoshikwa shikwa n kdada kabsa
Mjini lazima watu wakimbie
Mkuu hapo jiandae ukiena chooni ,utapata tabu sana kupata choo .