Karibuni chakula [emoji2][emoji2][emoji2]

Karibuni chakula [emoji2][emoji2][emoji2]

Dah! Mpe raha kitu inapenda.. mie sipo hewani na sipo dsm.. nipo na kina naomi tunakula sato [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha si unajua yule
Sim sms balaaaa
Leo alipiga nkamwambia nko karibu na mtambo
Nliwasha blender ajue kuwa mashine inaliaaa kna kelele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ukibakisha Ugali ,
Ugali Utakuwa msafi ,nausio na michuzi
Ugali huteleza kwenye sahani ya mboga hivyo utamega Kila mahali..

Pili sio heshima kula Ugali na mboga katka sahani moja...
Kwani sio makande hayo
[emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jamaa unapenda kulakula sana 😄😄

Hongera sana
 
Back
Top Bottom