Kuna wanawake kazi sana kuishi nao

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
702
1,780
Kuna wanawake kazi kuishinao hujapokea simu kwa wakati utaona meseji inatumwa we Malaya uko wapi heee! Hajali upo kwenye hali gani pengine Una dripu hospitali

Ukimkuta aliyestarabika mwenye mindset ya kizungu wala hana panic utaona text inaingia baby are you okay ? , i just want to know if your safe PSE let me know.

Sikuhizi kuchungana kumezidi unakuta mpenzi wako kakuwekea GPS kwenye gari bila we kujua sasa jichanganye useme uwongo.
 
Back
Top Bottom