donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
.
Kwann mkuuMmh
Usirudue kuchanganya
Ugali na mboga..
Zile bakuli kabatini sio wageni tu? Alafu
Zima taa ,saivi mchana
Naona kuna sahani pembeni ya chakula, yani kuna chakula kinakula chakula ili badae nawe ukile
Life goes on bruh, I don't fake life, I keep it 'OGMeza mchina, deki mchina, TV mchina, TV stand mchina, remote control mchina, jagi mchina, glass mchina, tiles mchina, sahani mchina....hatujajua ugali na Joyce
Pamoja sanaLife goes on bruh, I don't fake life, I keep it 'OG
Demu wako kaenda turkey au bado yupo mwenge ?
Vitonge kama vya junior!Kumbe mwamba huwa n Dem. Maana ugali ulivyoshikwa shikwa n kdada kabsa
Kwann mkuu
Hahahaha yupo badoDemu wako kaenda turkey au bado yupo mwenge ?
Mboga zinachafua ugaliUkibakisha Ugali ,
Ugali Utakuwa msafi ,nausio na michuzi
Ugali huteleza kwenye sahani ya mboga hivyo utamega Kila mahali..
Pili sio heshima kula Ugali na mboga katka sahani moja...
Kwani sio makande hayo
🚶🚶
Dah! Mpe raha kitu inapenda.. mie sipo hewani na sipo dsm.. nipo na kina naomi tunakula sato 😀😀😀Hahahaha yupo bado
Hahaha!sema dem wetu
Wote hahahaha
mama D
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mboga zinachafua ugali
Alafu kumwaga chakula ni mbayaNdio mkuu,
Kama ukitia mboga na Ugali katika sahani moja 🍛...
Ukibakisha huo Ugali haufai hata kwa kiporo
Kama hutojali ...
Pika 🥣Ugali na mboga katika sufuria moja🤣
🚶🚶
hahahahhahahahahaNaona kuna sahani pembeni ya chakula, yani kuna chakula kinakula chakula ili badae nawe ukile
hahahahahahah kmmmmmkMeza mchina, deki mchina, TV mchina, TV stand mchina, remote control mchina, jagi mchina, glass mchina, tiles mchina, sahani mchina....hatujajua ugali na Joyce