Nahitaji ushauri na mawazo nina uoga wakuangalia balance yangu ya hela benki

Mwombe Mungu sana kwa kufunga na kwa kuwashirikisha Watumishi mbali mbali

Lakini pia amka asubuhi ufanye mazoezi ya kutosha na kula vizuri, ikiwezekana uende Gym

Yote hayo yatakupa confidence ya kuchungulia na kukuondolea woga
 
Naona kwa hili sipaswi kumsumbua Mungu ni dogo Sana , ni Sawa na kesi ya kudokoa andazi imfikie Rais wa nchi wacha niisugue akili na binadamu wenzangu watakaonipa mawazo
 
Sijui hii inaitwa phobia gani?! Ukiwithdraw pesa fasta ishakata huku michango ya harusi, huku meseji za marafiki wako juu ya mawe, huku ada za shule, hujakaa sawa sikukuu hizo zinafululiza.
20231007_005650.jpg
20230605_154534.jpg
 
Back
Top Bottom