Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

Vipi mfano unaweza kufunga camera nyumbani kwangu na mkewangu asijue?
 
Unapatikana wapi?

Mimi niko Mbeya.
Naipataje??

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Niko Dar ,kama una ndugu hapa dar unaweza kumpa hela akaja kuchukua ofisini au wewe utoe maelekezo unataka uipate kwa njia ipi
 
Mawasiliano yako, yakiambatana na last offer.

300k UNACHUKUA?

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Kizuri gharama, wewe ununue kameza za 500,000 unataka ulingane na wa 10M?
Ndio Kwan nilisema sitoi gharama Ata nikiambiwa izo camera zaidi bei ntalipia cause nachopenda kidisplay nahitaj kukiona sio niambiwe HD day and night afu iwe black and white
 
Tajiri katika ubora tukuka😂
 
Ndio Kwan nilisema sitoi gharama Ata nikiambiwa izo camera zaidi bei ntalipia cause nachopenda kidisplay nahitaj kukiona sio niambiwe HD day and night afu iwe black and white
Naomba unipe hiyo kazi .nikufungie camera ufurahie kuona picha angavu mchana na usiku kisha uje utoe mrejesho hapa jf.
 
Back
Top Bottom