Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

Tajiri katika ubora tukuka😂
Sipendi kabisa drama katika products mtu anakuambia let's say kitanda kinadumu miaka 6 unachukua inafika 2weeks kimeachia sasa ndo kimefanyika apo💔
 
Sasa kama unarukaruka sana wakati wa ibada ya Zumaridi kwanini kitanda kisilegee😂
 
Sina izo mbwembwe za kurukaruka ndo maan nikanunua kitu strong Ata ikitokea za zumaridi kina stahimili📌
 
Afadhali hupendi huo utapeli wa kurukaruka kama Zumaridi akiomba😅
 
Nawatakia ijumaa kuu njema msisahau kuimarisha ulinzi majumbani na maofisini kwenu kwa kufunga Cctv camera. Mungu awabariki sana.
 
Back
Top Bottom