Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia kwenye simu yako ya mkononi ukiwa popote. Bei zetu ni nzuri na tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha. Karibuni sana .
Unazo camera kama hizi?
 
Kwanini neno la heshima ni boss tu? Mimi ni mteja na nitafurahi kuitwa mteja. Na zaidi: hata uitwe majina mazuri namna gani interaction na huduma kwa mteja ndiyo kila kitu. Unadhani sijatembelea sehmu kama Kariakoo ambako kila mteja huitwa boss lakini huduma ni mbovu kabisa? Mimi huu utamaduni wa Bongo kuita watu amajina kama ''anko, anti, shangazi, bosi, mzee'' siupendi tu.
Sasa kama mtu umeenda dukani kwake na ndio mara ya kwanza amekuona atajuaje kama hupendi kuitwa Boss na unapenda kuitwa mteja?
Kumbuka maelfu ya watu wanaenda kufuata huduma sasa waanze kumchambua kila mteja anapenda kuitwa jina gani itawezekana kweli?
Hapo cha msingi ili mradi haujatukanwa basi inatosha
 
Ujaelewa tumefunga izo HD as you proclaim ila usiku zinakua black and white so Ata kueka zingine jau kweli Tena hikvision iyo iyo
Colour HD pictures kwa usiku ni Power intensive operations, maana inatakiwa mwanga uwepo ili upate picha ya rangi, . camera nyingi hawaweki kama default mode kwa usiku, maana hata kiusalama sio sahihi. Picha za black Ana white hazihitaji mwanga wa camera
 
you are not serious at all, hebu weka hapa huo mchanganuo wa bei wa camera 2 na 4G router tuone imefikaje 720,000
Nimefanya hii biashara kwa muda mrefu hili suala lako unalohitaji la kuandika mchanganuo nimeshafanya sana najua mbinu zinazotumiwa katika hii biashara hasa unapofanya tangazo mtandaoni ila nitafanya mchanganuo kama ifuatavyo
1. Dvr channel 4
2. HDD 1 TB
3. Camera 2
4. Power supply
5. Cable
6.Router
7. Gharama za ufundi
Unaweza kufanya comparison na wafanyabiashara wengine kwenye bei ya hivyo vifaa.
 
Dvr ya njia nne full na camera (colourVu) zake bei gani? Gharama Isihusishe na ufungaji.
Itakuwa 520,000 bosi wangu . Karibu tukuhudumie
unapompa mteja bei kuwa makini sana kwamba mteja anataka nini....kwa mfano nikija na hiyo 520,000 nataka Hikvision NVR port 4, iwe na Hard Disk ya Surveillance ya 2TB, camera 4 Hikvision 8MP utanipa?
 
Colour HD pictures kwa usiku ni Power intensive operations, maana inatakiwa mwanga uwepo ili upate picha ya rangi, . camera nyingi hawaweki kama default mode kwa usiku, maana hata kiusalama sio sahihi. Picha za black Ana white hazihitaji mwanga wa camera
Usalama Tena?
 
Nimefanya hii biashara kwa muda mrefu hili suala lako unalohitaji la kuandika mchanganuo nimeshafanya sana najua mbinu zinazotumiwa katika hii biashara hasa unapofanya tangazo mtandaoni ila nitafanya mchanganuo kama ifuatavyo
1. Dvr channel 4
2. HDD 1 TB
3. Camera 2
4. Power supply
5. Cable
6.Router
7. Gharama za ufundi
Unaweza kufanya comparison na wafanyabiashara wengine kwenye bei ya hivyo vifaa.
nina mashaka na kauli yako kwamba umefanya hii biashara kwa muda mrefu, unatoa tangazo ambalo huweki specification!! camera 2 za MP ngap? kampuni gani? power supply ya rate gani? cable ipi UTP au coaxial, router ya kampuni gani?
 
unapompa mteja bei kuwa makini sana kwamba mteja anataka nini....kwa mfano nikija na hiyo 520,000 nataka NVR port 4, iwe na Hard Disk ya Surveillance ya 2TB, camera 4 Hikvision 8MP utanipa?
Ninapotoa bei naangalia hitaji la mteja kataka nini kwa mfano mteja kauliza dvra port 4 hawezi kuja kudai nvr pili camera 4 zinakuwa na HDD 1TB kama mteja anataka zaidi ya hapo anasema.
 
Nimefanya hii biashara kwa muda mrefu hili suala lako unalohitaji la kuandika mchanganuo nimeshafanya sana najua mbinu zinazotumiwa katika hii biashara hasa unapofanya tangazo mtandaoni ila nitafanya mchanganuo kama ifuatavyo
1. Dvr channel 4
2. HDD 1 TB
3. Camera 2
4. Power supply
5. Cable
6.Router
7. Gharama za ufundi
Unaweza kufanya comparison na wafanyabiashara wengine kwenye bei ya hivyo vifaa.

Hivi unafikiri watu wote huku Jf wametokea kitaramanka?.... Camera 2 na router haiwezi kufika 520,000 hiyo hapo Camera 4 (IP) 2MP COLORVU, NVR 4CH POE, + Router ya 4G,......370,000

1743941019187.png
 
nina mashaka na kauli yako kwamba umefanya hii biashara kwa muda mrefu, unatoa tangazo ambalo huweki specification!! camera 2 za MP ngap? kampuni gani? power supply ya rate gani? cable ipi UTP au coaxial, router ya kampuni gani?
Biashara ina mitego mingi mteja anakuja anataka quotation ya camera labda 4 unaandika kila kitu unampa kumbe siyo mteja bali ni mfanyabiashara mwenzako alitaka kujua bei zako akiondoka humuoni tena na hakuna biashara inayofanyika.
Huo mchanganuo unaoutaka wa kuweka mpka brand ya camera tunafanya kama umepata tenda kwenye kampuni lakini kwa mteja mmoja mmoja siyo rahisi kwani tumeshakutana nayo sana.
 
Ninapotoa bei naangalia hitaji la mteja kataka nini kwa mfano mteja kauliza dvra port 4 hawezi kuja kudai nvr pili camera 4 zinakuwa na HDD 1TB kama mteja anataka zaidi ya hapo anasema.
hiyo kanuni ya camera 4 zinakuwa na HDD ya 1TB umeitoa wapi? hizo camera 4 zikifanya continuous recording kwa 24hrs tu zinakula GB ngap? au unataka mteja awe anaangalia backup (play back) ya wiki 2 tu? akitaka kuangalia matukio ya miezi 3 iliyopita unamwambia imeshafutika...... 😀 😀 😀
 
Hivi unafikiri watu wote huku Jf wametokea kitaramanka?.... Camera 2 na router haiwezi kufika 520,000 hiyo hapo Camera 4 (IP) 2MP COLORVU, NVR 4CH POE, + Router ya 4G,......370,000

View attachment 3294883
Angalia vizuri mchanganuo wangu na linganisha na hilo tangazo uloweka hapo juu utagundua tofauti . Mimi nimeweka HDD 1TB tangazo lako wameweka 500GB,mimi nimeweka power supply kwenye tangazo lako halina power supply, mimi nimeweka na gharama za ufundi tangazo lako halionyeshi gharama za ufundi. Lakini pia lazma ujue hii ni biashara bei haziwezi kuwa sawa kwa kila mfanyabiashara.
 
hizo ni camera 4 boss, zinatumia POE hazihitaji power supply, hiyo HDD ni Surveillance (Purple hard drive) any way ni kweli bei haziwezi kulingana mimi nilikuwa najaribu kukuonyesha namna ya kuweka quotation wazi zaidi
 
Nashukuru kama umenielewa na asante Kwa ushauri wako. Karibu tukuhudumie.
 
Security Camera inapopiga picha za black and white hazihitaji mwanga, kwa hiyo hata mwizi hata jua kama Kuna camera inamuangalia, unapotaka Kupata picha za rangi usiku lazima camera iwashe flash, naamini umeelewa logic
Apo sawa
 
Nahitaji kufungq camera 2 kweny ofisi ila nataka niwe nafanya follow up kweny desktop mkoa mwingine TOTAL COSTS KWA KAZI NZIMA KWA PALE CAMERQ ZINAFUNGWA
Nashukuru kama umenielewa na asante Kwa ushauri wako. Karibu tukuhudumie
 
Back
Top Bottom