Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

We jitafute ukasome maana umri wako bado mdogo ila ajira ni changamoto, marubani wengi kuliko ajira
asante
hilo lipo kila sekta kikubwa ni kupambana
ingepedeza kama tungefahiana na marubani wa Tanzania tujue wao walifanikiwa vip
 
Habari za muda wanajukwaa, poleni na majukumu

Tanzania tumekuwa na uhaba wa wafanyakazi wengi wazawa katika fani ya aviation na pilot kwa ujumla kutokana na changamoto mbalimbali hasa za kiuchumi katika familia zetu.

Mimi ni kijana wa miaka 20

Nina matarajio ya kuwa rubani na imekuwa ndoto yangu tangu nilipokuwa mdogo lakini ninakumbana na matatizo fulani hasa ya kifedha ambayo huwa yananikatisha tamaa ya kufikia malengo yangu hivyo naomba kuuliza kama naweza kupata sponsorship au scholarship kutoka ndani au hata nje ya nchi kwa masomo ya shule ya urubani ambapo nitapata ujuzi wangu kuhusu usafiri wa anga

Ni imani yangu na natumain naweza kupata msaada kupitia Jamii forums
Kwa namna moja au nyingine ili niweze kufikia malengo yangu kwa hivyo mwenye ujuzi wowote juu ya aviation tafadhali naomba anipe muongozo wa namna ya kupata ufadhili wa kusoma katika flight schools.
asante View attachment 2545763
Kama umemaliza any degree kwenye uhandisi hasa electronics, telecommunication, mechanical aircraft and other related na ukawa na GPA kali, O level na Advanced pia ukawa ukifanya vzr kwa maana una Div nzur na umri below 25 nadhani basi Mamlaka ya Anga (TCAA) huwa wanafadhili. Jaribu kufuatilia TCAA!

NINA UHAKIKA KAMA UNA HIVYO VIGEZO UNAWEZA TIMIZA NDOTO ZAKO. KUNA WATU NAWAFAHAMU WAMEPITA NJIA HIYO NA SASA NI PILOTS NA WENGINE NI WAHANDISI WA NDEGE!
 
Mnaongopeana.

Umetoka familia ya kimaskini unataka utoboe kuwa rubani hiyo ni ndoto ya Alinacha.

Mnaweza mkajikongoja kuuza Mali zenu za familia ukasoma ukamaliza ila hutotoboa kupata kazi .

Ushauri: Tafuta kozi inayoendana na uwezo wa familia yenu urubani haukufahi hamna hamna bora ujaribu u flight dispatcher
 
Penye nia pana njia. Uwezo mdogo wa familia isiwe chanzo cha kukata tamaa. Watu wengi walitoka familia maskini, lakini nia yao iliwafikisha walipopahitaji.

Kwa bahati nzuri, sasa hivi fani hiyo inafundishwa hapa nchini na baadhi ya vyuo vyetu! Hii nadhani inapunguza hata gharama ya mafunzo ukilinganisha na vyuo vya nje.

Nadhani pia vyuo hivyo (vya hapa nchini) vinafahamiana na taasisi nyingi zinazodhamini wanafunzi (tofauti na HSLB) kwenye course hiyo, maana vinachukua wanafunzi hadi kutoka nchi zingine.

Nakushauri nenda katika moja ya vyuo hivi, ukaulizie suala ka udhamini wa wanafunzi wengine ambao tayari wanasoma course hiyo, huenda ukapata muelekeo mzuri. Kila la heri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo kibao hivyo vyuo ujavitaja.
 
Mnaongopeana.

Umetoka familia ya kimaskini unataka utoboe kuwa rubani hiyo ni ndoto ya Alinacha.

Mnaweza mkajikongoja kuuza Mali zenu za familia ukasoma ukamaliza ila hutotoboa kupata kazi .

Ushauri: Tafuta kozi inayoendana na uwezo wa familia yenu urubani haukufahi hamna hamna bora ujaribu u flight dispatcher
asante kwa ushauri
yamkini haikuwezekana kwa wengine ila haimaanishi itashindikana kwa wote
 
Kama umemaliza any degree kwenye uhandisi hasa electronics, telecommunication, mechanical aircraft and other related na ukawa na GPA kali, O level na Advanced pia ukawa ukifanya vzr kwa maana una Div nzur na umri below 25 nadhani basi Mamlaka ya Anga (TCAA) huwa wanafadhili. Jaribu kufuatilia TCAA!

NINA UHAKIKA KAMA UNA HIVYO VIGEZO UNAWEZA TIMIZA NDOTO ZAKO. KUNA WATU NAWAFAHAMU WAMEPITA NJIA HIYO NA SASA NI PILOTS NA WENGINE NI WAHANDISI WA NDEGE!
kuna vigezo umetaja hapo bado sijavifikia ila kwa kuwa ni njia moja wapo basi nitavifanyia kazi
asante.
 
kutoka India
Japo nimeambiwa Aviation sector kwa Africa ni bora kuliko India[emoji2369]
IMG-20230312-WA0056.jpg
 
Kwa Tanzania ni ngumu jaribu kwenda nje ya nchi kwa namna yoyote ile...
 
airport@flymwaa.com or telephone 0715 555 777 Monday thru Friday. You may also like to visit our website at www.flymwaa.com and our video is on YouTube at .
Nchi hii ngumu sana.
Website iko kienyeji sana utafikiri watoto wanajifunza huduma.
Kulitakiwa kuwa na taarifa zinazojitosheleza.
Mmeandika kozi mnazotoa bila kuambatanisha fees na duration
 
Back
Top Bottom