Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

hii pia nimeambiwa na wengi
nitalifikilia
Kama kipato ni kidogo inaweza saidia kufikia ndoto maana wale marubani wa jeshi ni taifa linagharamia na huwa wanasoma mambo mengi na current so if it can make sense ingia mapema huku ukisuka mipango ushikwe mkono huko huko jeshini.
Nakuombea ufanikiwe.
 
Asante mkuu
Familia yangu haipo vizuri sana kiuchumi na ninahofia hicho kinaweza kuwa kikwazo cha kufikia ndoto zangu

Lakini kwa sasa nategemea sana ufadhilii japo nao ni ngumu kupata
Ila nimewasiliana na baadhi ya pilots wakongwe hasa kwa nchi za Marekani na Canada wengi wanasema waliingia kwenye hii career kupitia jeshi
Ushauri nenda YouTube mtafute somebody mgogo anza kutafuta mawasiliano nae atakupa mwangaza zaidi kuliko hao wa USA na Europe, kwanza mtanzania mwenzio pili kijana kama wewe, alipitia changamoto nyingi kuliko kawaida.Hutu atakuongoza vema.
Ushauri tuu
 
nimesearch mgogo naona wanaleta mchungaji Daniel Mgogo
au huyo ni mgogo yupi
 
hiki chuo kipo Johannesburg South Africa
hapo amenitajia baadhi ya qualifications
poa alinielekeza organisation zinazotoa mikopo ila nyingi ni kwa watu wa SA
 
hiki chuo kipo Johannesburg South Africa
hapo amenitajia baadhi ya qualifications
poa alinielekeza organisation zinazotoa mikopo ila nyingi ni kwa watu wa SA

Screenshot_20230313_213322_Gmail.jpg
 
Upo sahihi, nimepata PPL 43 airschool port Alfred CPL zero four Flight school Marget KZN, usipo kuwa na pesa yote kwa wakati mmoja unazidi poteza pesa kwenye accommodation, medical insurance na aviation insurance, bado ukimaliza na ma masaa yako 250 lakini mara nyingi ni zaidi ya hapo maana kutakua na lessons zingine za kurudia especially kabla hujaenda solo unakuta kampuni ya ndege inakutaka uwe na masaa 1500 wakuajiri wakati karibu kila saa angani umelipia kati ya laki tano mpaka sita, zoezi ni zito, kuna waalimua wangu wa ndege mpaka leo wanatafuta kazi
Kwa sasa Tz marubani ni wengi kuliko Ndege

ATCL kuna siasa na kujuana sana

Auric, Tropical, Safarilink ndege zao nyingi ni C208 Caravan ambazo huko ndo watu wanaenda fanya bure kupata masaa
 
Kwa sasa Tz marubani ni wengi kuliko Ndege

ATCL kuna siasa na kujuana sana

Auric, Tropical, Safarilink ndege zao nyingi ni C208 Caravan ambazo huko ndo watu wanaenda fanya bure kupata masaa
changamoto hii
hizo ndege ulizotaja zinapatikana wapi
 
baada ya kufatilia kwa muda
kuna hiki chuo kipo Argentina wao wanatoa course ya moja kwa moja kuanzia zero hours to 260 flying ours + 30 simulator hours (CPL) kwa 34k USD

LINK yao hii hapa chini ama kwa maelezo zaidi waweza ni PM nikupe muongozo kamili
 
Back
Top Bottom