Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

Karibu Tujuzane mbinu za kuwa pilot

Anzia pale Mabibo, NIT ni chuo cha usafirishaji cha taifa. Kina kozi ya urubani na vifaa vya mafunzo ya awali baadhi viliishafika. Watembelee unaweza kuwa mmoja wa wateule wachache wanaotarajiwa kwenye fani ya urubani. Aidha piga hodi jengo la TCAA pale Banana, huwa wanapata scholarships za urubani za hapa na pale. Kila lakheri!.
 
asante mkuu
nilkuwa na wazo pia la kwenda TCAA kufuatilia zaidi
umenipa mwanga
 
Ukishindwa uje tujifunze hapa kwa bibi yangu udereva wa ungo njia si moja 😆😆😂😂😂
 
Habari za muda wanajukwaa, poleni na majukumu

Tanzania tumekuwa na uhaba wa wafanyakazi wengi wazawa katika fani ya aviation na pilot kwa ujumla kutokana na changamoto mbalimbali hasa za kiuchumi katika familia zetu.

Mimi ni kijana wa miaka 20

Nina matarajio ya kuwa rubani na imekuwa ndoto yangu tangu nilipokuwa mdogo lakini ninakumbana na matatizo fulani hasa ya kifedha ambayo huwa yananikatisha tamaa ya kufikia malengo yangu hivyo naomba kuuliza kama naweza kupata sponsorship au scholarship kutoka ndani au hata nje ya nchi kwa masomo ya shule ya urubani ambapo nitapata ujuzi wangu kuhusu usafiri wa anga

Ni imani yangu na natumain naweza kupata msaada kupitia Jamii forums
Kwa namna moja au nyingine ili niweze kufikia malengo yangu kwa hivyo mwenye ujuzi wowote juu ya aviation tafadhali naomba anipe muongozo wa namna ya kupata ufadhili wa kusoma katika flight schools.
asante View attachment 2545763
No [emoji383] [emoji383] no piloting

Haimati umefauluje kama wazazi hawana [emoji383] [emoji383]

Kijana tafuta njia nyingine tuu mwanawane
 
Hela yako tu
Dollar 17,000 unapata PPL pale Moswood Terminal 1
Hapo unapigwa Theory, Simulator na Flight Time ya Masaa 50

Japo waweza anza na Theory afu kwenye kusaka Masaa ili upate leseni, ukipata 600,000 unaenda paa Saa lako 1 unatulia

Ukimaliza PPL, Tafuta pesa kapige CPL ambapo huko utahitajika utimize Masaa 250 kwa C208 Caravan

Hayo masaa ndio ghali maana kila saa 1 ni Dollar 200 +- 50

Ukimaliza hapo unapiga APL, baada ya hapo ukipata shirika litakusomesha lenyewe kwa mkataba wa kuwafanyia kazi
Hicho chuo kiko wapi nimpeleke binti yangu?
 
Ili ufanikiwe hakikisha kuna 500m haina kazi
Ila ukitaka ombaomba utazeeka ndege unaziona zinapita juu ya paa lako
Upo sahihi, nimepata PPL 43 airschool port Alfred CPL zero four Flight school Marget KZN, usipo kuwa na pesa yote kwa wakati mmoja unazidi poteza pesa kwenye accommodation, medical insurance na aviation insurance, bado ukimaliza na ma masaa yako 250 lakini mara nyingi ni zaidi ya hapo maana kutakua na lessons zingine za kurudia especially kabla hujaenda solo unakuta kampuni ya ndege inakutaka uwe na masaa 1500 wakuajiri wakati karibu kila saa angani umelipia kati ya laki tano mpaka sita, zoezi ni zito, kuna waalimua wangu wa ndege mpaka leo wanatafuta kazi
 
Attachments

  • FCA9CEC9-9EE0-43E8-8918-71D5DA333395.jpeg
    FCA9CEC9-9EE0-43E8-8918-71D5DA333395.jpeg
    77.7 KB · Views: 41
Upo sahihi, nimepata PPL 43 airschool port Alfred CPL zero four Flight school Marget KZN, usipo kuwa na pesa yote kwa wakati mmoja unazidi poteza pesa kwenye accommodation, medical insurance na aviation insurance, bado ukimaliza na ma masaa yako 250 lakini mara nyingi ni zaidi ya hapo maana kutakua na lessons zingine za kurudia especially kabla hujaenda solo unakuta kampuni ya ndege inakutaka uwe na masaa 1500 wakuajiri wakati karibu kila saa angani umelipia kati ya laki tano mpaka sita, zoezi ni zito, kuna waalimua wangu wa ndege mpaka leo wanatafuta kazi
Aisee, kumbe ili kufanikisha ndoto za binti yangu miaka mitano ijayo inabidi kujipanga hasa
 
Upo sahihi, nimepata PPL 43 airschool port Alfred CPL zero four Flight school Marget KZN, usipo kuwa na pesa yote kwa wakati mmoja unazidi poteza pesa kwenye accommodation, medical insurance na aviation insurance, bado ukimaliza na ma masaa yako 250 lakini mara nyingi ni zaidi ya hapo maana kutakua na lessons zingine za kurudia especially kabla hujaenda solo unakuta kampuni ya ndege inakutaka uwe na masaa 1500 wakuajiri wakati karibu kila saa angani umelipia kati ya laki tano mpaka sita, zoezi ni zito, kuna waalimua wangu wa ndege mpaka leo wanatafuta kazi
Ndio wewe huyo kwenye hiyo picha kijana?
 
Miaka kadhaa baadae urubani itakua sio kazi ya kusomea,ajira zitakua ngumu.

Teknolojia itafanya ndege zisiitaji sana marubani.
 
Mnaongopeana.

Umetoka familia ya kimaskini unataka utoboe kuwa rubani hiyo ni ndoto ya Alinacha.

Mnaweza mkajikongoja kuuza Mali zenu za familia ukasoma ukamaliza ila hutotoboa kupata kazi .

Ushauri: Tafuta kozi inayoendana na uwezo wa familia yenu urubani haukufahi hamna hamna bora ujaribu u flight dispatcher
Maskini akimshauri maskini huwa hivi.

Waliofanikiwa wengi wametokea umaskini totoro.
Unamfahamu Mwigulu?
Unamfamu Mengi?
Hao ni baadhi ya maskini walio toboa
 
Habari za muda wanajukwaa, poleni na majukumu

Tanzania tumekuwa na uhaba wa wafanyakazi wengi wazawa katika fani ya aviation na pilot kwa ujumla kutokana na changamoto mbalimbali hasa za kiuchumi katika familia zetu.

Mimi ni kijana wa miaka 20

Nina matarajio ya kuwa rubani na imekuwa ndoto yangu tangu nilipokuwa mdogo lakini ninakumbana na matatizo fulani hasa ya kifedha ambayo huwa yananikatisha tamaa ya kufikia malengo yangu hivyo naomba kuuliza kama naweza kupata sponsorship au scholarship kutoka ndani au hata nje ya nchi kwa masomo ya shule ya urubani ambapo nitapata ujuzi wangu kuhusu usafiri wa anga

Ni imani yangu na natumain naweza kupata msaada kupitia Jamii forums
Kwa namna moja au nyingine ili niweze kufikia malengo yangu kwa hivyo mwenye ujuzi wowote juu ya aviation tafadhali naomba anipe muongozo wa namna ya kupata ufadhili wa kusoma katika flight schools.
asante View attachment 2545763
Penye NIA mdogo wangu, NJIA hupatikana, endelea kuhakikisha kwamba nia yako haipotei katu, njia itajitokeza!
Ninakutakia mafanikio katika ndoto yako!!
 
Miaka kadhaa baadae urubani itakua sio kazi ya kusomea,ajira zitakua ngumu.

Teknolojia itafanya ndege zisiitaji sana marubani.
Hii hoja ilishawahi kuja kwamba ndege isiwe na Rubani iji ongoze yenyewe(Auto pilot) lakini ilipingwa kwa sababu ya Hofu na usalama wa abiria...

Hakuna atakaye kubali kupanda chombo kisicho na muongozaji..

Hivyo Carrier ya urubani ina market sana hata kwa siku za mbeleni,licha ya teknolojia kukua kila siku

Kazi ya Rubani kwenye ndege ni kidogo sana, kuongoza wakati wa kupaa(Taking off) na kutua(Landing), Muda mwingi ndege ikiwa angani wana seti tu Auto pilot...
 
Maskini akimshauri maskini huwa hivi.

Waliofanikiwa wengi wametokea umaskini totoro.
Unamfahamu Mwigulu?
Unamfamu Mengi?
Hao ni baadhi ya maskini walio tob
Huna unachojua kuhusu hii fani, acha nikuache tu muendelee kudanganyana.
 
Back
Top Bottom