Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
..mbinu za kibepari hizo, amini usiamini!
Hapana mkuu, ni mbinu za kikomunisti wanaotaka kutumia the guise of free market to gain monopoly eg. Putin and his gang in Russia, the Communist party in China etc. Lakini ubepari haitaki hivyo na Marekani kuna Anti trust law na committee maalum inayohakikisha kwamba hakuna situation inayojitokeza ya monopoly.
Naomba niulize kama Talktel ndiyo hiyo ya HITS maana hiyo ndo iko Mwalimu house ghorofa ya 10 na walikuwa na press conference miezi kadhaa iliyopita. Mwenyekiti wa Bodi ni mtoto wa Rais Mwinyi (siyo waziri). So there's interest in there as well. Ni kampuni ya waarabu.