Karibu sana TALKTEL Communications

Lunyungu FIX....anafahamika muda mrefu...kwa sie wazoefu hapa wala hatupati shida nae. Always akija na data kuweni makini sana....ni vema mkamdadisi zaid alete uthibitisho wa anayoyaongea.

Mzee P Mikael nae alikuja kwa povu kubwa...kujifanya kujua...wakati mtu wakijiweni!!! eti Kampuni anaijua...ipo Mwalim House Gorofa ya 10...nae huyu akija na data kuweni makini...atleast tutumie njia za udadisi ili waweze weka uzuri taarifa zao...

Wadau isije kufikia mahala tunaogopa VIVULI vyetu...huku kuwapandisha chat EL/RA...whatever tunajijengea mazingira ya KHOFU na kuacha AKILI zifikiri kuwa tunaweza. Najua TZ kila mtu kila eneo alipo anataka kula....lkn tusifike mahala hao wachache wakaonekana ndio vizingiti....
 
mkuu umepitia site yao kabla ya kubandika haya?
 
TALKTEL ni kampuni ya kitapeli.
Lunyungu, naona mwanzo uliipigia debe lakini baada ya kukosa vipande vya nyama na kutupwa nje umeamua kuwageuka wenzako.
Hii ni kampuni ya kitapeli, hawa ni Wanigeria wanaojaribu kusafisha pesa za mabosi wao.

Eti....howardcowen@msn.com na website isiyokuwepo www.reedtechsolutions.com

TCRA walikuwa sawa kuwablock hawa na wamejaribu kutumia siasa kupata leseni. Hakuna cha RA wala EL hapa...ni utapeli tu unaendelea.
Insurgent..umefanya vema kututahadharisha...pia ni vema ukatupa source ya taarifa zako
 
Nimepitia...Pitia bandiko na Insurgent na pitia bandiko la mdau mwingine akimqoute Lunyungu....do they talk the same company or different...?

kuna website kama tatu hadi sasa zimewekwa.
1.Talktel Communications
2. index » Page 3 of 4
3.The New Player

na ingine hio ya .canada......

Nafikiri ni vema tukafanya utafiti kuliko kujump kuwa EL/RA wanawa block...Ikipitishwa kampuni haraka haraka yakaja yale ya Richmond tutasemaje
...TCRA ina matatizo yake....lkn ifikie mahala hizi Tume zifanye kazi zao.
 
Siri yako naijua Lunyungu jina lako si laanza na herufi J.

Mkuu taratibu usije kumtaja jina lake akawa hana raha...pia kama alivyosema Yoyo kuwa Lunyungu yupo kama Upepo...hakawii kukwambia yupo tarime ktk uchaguz...algeria...mara ohhh nipo dodoma naongea na mwanaCCM...."Leo yupo DSM Quality Plaza anapambana na wenzake...."....Wakati analeta data hata website hakuleta..leo hii hadi ugomvi wa Ndani ya Kampuni anaujua..."...ama kweli JF ......
 
Nimepitia...Pitia bandiko na Insurgent na pitia bandiko la mdau mwingine akimqoute Lunyungu....do they talk the same company or different...?

kuna website kama tatu hadi sasa zimewekwa.
1.Talktel Communications
2. index » Page 3 of 4
3.The New Player

na ingine hio ya .canada......

Nafikiri ni vema tukafanya utafiti kuliko kujump kuwa EL/RA wanawa block...Ikipitishwa kampuni haraka haraka yakaja yale ya Richmond tutasemaje
...TCRA ina matatizo yake....lkn ifikie mahala hizi Tume zifanye kazi zao.
mkuu site yao ni Talktel Communications .......hizo nyingine sio....talktel ni jina common yawezekana zipo na nyingine huko wanapojua..

....na talktel mama site yao ni TalkTel - Your Broadband Phone Company .....mkuu lunyungu namkubali na data zake.....nahisi atakuwa safarini angeshajibu na kutupa data zaidi
 
Mirambo Limited wanamiliki 35% ya vodacom TZ

je Mirambo limited ni ya nani

Hili Swali ni la kujiuliza. Hizi 35 % ni zile zilizokuwa za Rostam (19 %) na Planetel (16 %) na hii ilikuwa inamilikiwa na Peter Noni fisadi mwingine kutoka BoT ambaye hadi sasa ni mkurungezi pale (BoT). Ukikumbuka habari za Mwanahalisi huko nyuma zinamtaja huyu Peter Noni akishirikiana na RA kuchota pesa za EPA kwenda Kagoda ndo maana haondolewi kwenye ukurugenzi. Kwahiyo inawezekana kabisa wameamua kwa pamoja kubadili majina yao katika umiliki. Kwa sasa kuna maombi yaliyopelekwa TCRA yakisema "wamiliki wa ndani (local shareholders) wa Vodacom wanaomba kibali cha kuuza hisa zao kwa mwekezaji wa nje". Hii ni kinyume na sheria za Tz ambazo zinataka kuwa makampuni haya yasimilikiwe na wageni kwa 100%. Ukifikiria sana waweza kupata jibu kuwa huenda anatafutwa rafiki wa RA aliyeko nje ya nchi kununua share hizo amabazo zaweza kubaki mikoni mwa hao jamaa kwa jina la mtu mwingine wa nje ya nchi. RA ni balaa.
 
Insurgent..umefanya vema kututahadharisha...pia ni vema ukatupa source ya taarifa zako

index » Page 1 of 4

HINTS:
- Unprofessional website
- Non-existent links (www.reedtechsolutions.com)
- Poor resolution images (copy and paste with stretching to fit)
- non-domain based e-mail addresses
- Grammar/Structure (check paragraph 1 and mission statement)
- Finance provided by HOWCO Financial Group

Who is HOWCO Financial Group?

a. First project (http://www.howcofinancial.biz/)

b. Business Information
This company profile is for the private company Howco Financial Group Inc , located in Tukwila, WA. Howco Financial Group Inc's line of business is mortgage broker.
Company Name:Howco Financial Group IncAddress:14918 58th Ave S, Tukwila, WA 98168-4533 (Map)Location Type:Single LocationEst. Annual Sales:$240,000 Est. # of Employees:3 Est. Empl. at Loc.:3 Year Started:1986 State of Incorp:WA SIC #Code:6163 Contact's Name:Howard CohenContact's Title:President

- Con artists
 
mkuu site yao ni Talktel Communications .......hizo nyingine sio....talktel ni jina common yawezekana zipo na nyingine huko wanapojua..

....na talktel mama site yao ni TalkTel - Your Broadband Phone Company .....mkuu lunyungu namkubali na data zake.....nahisi atakuwa safarini angeshajibu na kutupa data zaidi

Ndugu yangu wafahamishe watu kuwa kampuni inaitwa Talktel Communications na website yao ni http://www.talkteltanzania.com ili hata wao waweze kuaccess hiyo site
 
TALKTEL ni kampuni ya kitapeli.
Lunyungu, naona mwanzo uliipigia debe lakini baada ya kukosa vipande vya nyama na kutupwa nje umeamua kuwageuka wenzako.
Hii ni kampuni ya kitapeli, hawa ni Wanigeria wanaojaribu kusafisha pesa za mabosi wao.

Eti....howardcowen@msn.com na website isiyokuwepo www.reedtechsolutions.com

TCRA walikuwa sawa kuwablock hawa na wamejaribu kutumia siasa kupata leseni. Hakuna cha RA wala EL hapa...ni utapeli tu unaendelea.

Insurgent hizo site hapo ndio za Talktel au unaongelea kitu kingine? Kama ni za talktel basi ni kuwa unataka kutupotosha maana huko nyuma mi nimeshawapatia website za talktel na mahali wanapopatikana.
 
Insurgent..umefanya vema kututahadharisha...pia ni vema ukatupa source ya taarifa zako

Amekutahadharisha kwa kutumia taarifa za uongo. umekaa kwenye computer na kuaccess jamiiforums kwani kitu gani kinakuzuia kuvisite site yao ujionee mwenyewe?
 
index » Page 1 of 4

HINTS:
- Unprofessional website
- Non-existent links (www.reedtechsolutions.com)
- Poor resolution images (copy and paste with stretching to fit)
- non-domain based e-mail addresses
- Grammar/Structure (check paragraph 1 and mission statement)
- Finance provided by HOWCO Financial Group

Who is HOWCO Financial Group?

a. First project (http://www.howcofinancial.biz/)

b. Business Information
This company profile is for the private company Howco Financial Group Inc , located in Tukwila, WA. Howco Financial Group Inc's line of business is mortgage broker.
Company Name:Howco Financial Group IncAddress:14918 58th Ave S, Tukwila, WA 98168-4533 (Map)Location Type:Single LocationEst. Annual Sales:$240,000 Est. # of Employees:3 Est. Empl. at Loc.:3 Year Started:1986 State of Incorp:WA SIC #Code:6163 Contact's Name:Howard CohenContact's Title:President

- Con artists

I now conclude that you are visiting a very wrong site. Please scroll back to my former posts and try the website I provided

Thanks
 
Mkuu mtabadilisha hizo website templates mpaka mtachoka. Ukweli unabakia palepale...

Mwambie boss wako Melvin, ucon artist wake Tanzania haufai tena. Watu wameamka!

Hebu click kwenye Investors link kwenye hiyo website yenu mpya...
 
Ukweli ni kwamba TALKTEL ni kampuni ndogo sana ambayo iko base in Seattle, last year nilipoona ad yao niliwasiliana nao nikauliza kama ni kweli wanakwenda kuwekeza Tanzania kwani i will be more than happy kuwapa ushauri. Then i met one of their top boss ambae anaishi somewhere in Texas. Long story short, the company is existing but they do have small market capitalization and their technology is like Cricket mobile services.

Due to their capital, wana focus only kwenye services and outsource everything else. However, kwa model za biashara hapo Tanzania ili lingewawia ugumu.... But last time when i spoke to them ilionekana kwamba kuna some kind of matatizo kati yao na TIC.

Below was part of our email exchanging

However, The company will also be opening offices in Houston in 2009 since the company Chairman is actually from Houston and will be running all operations from there.
 
Mkuu mtabadilisha hizo website templates mpaka mtachoka. Ukweli unabakia palepale...

Mwambie boss wako Melvin, ucon artist wake Tanzania haufai tena. Watu wameamka!

Hebu click kwenye Investors link kwenye hiyo website yenu mpya...

naomba niandikie hiyo website yetu mpya unayoongelea yawezekana hatuelewani!
 
Jamani naomba tusisahau kwamba kuna watu wengi sana wanasit on various licenses from TCRA ( just visit the tcra website utajionea, kampuni zinginehazijulikani kwa jamii hata hazija launch na wala hawana mpango huo anytime soon) na wanasubiri kuuzia watu wengine..hiyo address yenyewe tuu utata quality building tena..na manji nae ana leseni through mycell...yani balaa...tutajua soon nani mwekezaji na nani mchotaji.
 
Hii Kampuni ilikuwa ni SCAM! loh

Back
Top Bottom