JF Marketer
Member
- Jan 3, 2009
- 80
- 34
Wana JF,
Rejea hii taarifa yangu hapa chini:
Leo nachukua nafasi hii tena rasmi kuwajulisha kuwa, muda mchache uliopita, Mh. halima Mdee amekamilisha taratibu za kujiunga rasmi hapa JF kwa majina yake halisi.
Napenda kumshukuru Mh. Mdee kwa kuwa muungwana na mkweli kwa ahadi yake. Kwa niaba ya Jamii Media, ninamuahidi ushirikiano kama tufanyavyo kwa Wanachama wetu wote.
Karibu Mh. Mdee uweze kuendeleza ushiriki wako katika mijadala kwa maslahi ya taifa letu pendwa-Tanzania
JF Marketer
Rejea hii taarifa yangu hapa chini:
.....Nipende kuwafahamisha, Mh. Mdee ameitika ombi lenu. Baada ya shughuli zilizomtinga toka mwezi mmoja uliopita na baada ya shughuli za msiba huu atajitokeza hapa hadharani na kwa Jina lake halisi.