Karibu nyumbani. Hili ndo sofa langu

Karibu nyumbani. Hili ndo sofa langu

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
1962751_601250953296608_1254334279_n.jpg
 
Hapa Home Tz umeukata kimaisha ukiwanali
maana hicho utafanya matumizi yote mchana sofa,usiku kitanda
 
so comfy, hapi usiku nina pad yangu ya Xbox ni mwendo wa Call Of Duty: Ghosts tu!
 
Hili linafaa kwa katika studio apartments!
 
Hicho kitanda kabisaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wenye miguu michafu tutaishia kuliangalia tu
 
kama ukaaji wenyewe ndio huo, akija mama mkwe sijui mtakaaje pamoja na mila zetu za kibongo.
 
Ndio la kwako, sasa ya nini kutuonyesha sisi, au kuna mlengwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom