Hili eneo langu niliuze kiasi gani?

Hili eneo langu niliuze kiasi gani?

CAPTAIN PHD

New Member
Joined
May 12, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Nina eneo langu lipo Kigamboni, Mwasonga, lina ukubwa wa mita za mraba 2,500 (takribani nusu ekari).

Je, naweza kuliuza kwa bei gani?
 
Milioni 12 tajiri maana hiyo ni nusu eka ilozidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom