Karibu nyumbani baba

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Baba Ridh akirudu nyumbani baada ya kutoka safari ya kuwatafutia riziki wabongo.
 
laiti niliyo yatamka ningeyaandika hapa basi ningepigwa ban.
 
anasalimiana na pinda lakini macho na mawazo yapo pengine kabisa!
 
suti hiyo ni one of those alizopewa na jamaa mwarabu ndo ameibikiri.
 
Pinda; iMkuu hii suti mbona sijapata kuiona au jamaa wamekupa zingine?
Mkulu; Acha hizo wewe! hiyo sio sera yetu ya kuuliza maswali ya zawadi. Anyway Igunga vipi tena Mbona naambiwa Rage Anatembe na mguu wa kuku nje nje?
Pinda: Ahh! kaharibu kweli, sisi tumepakaza kuwa kuna komandoo 33 toka Afganistan halafu yeye analeta mambo ya Mogadishu tena.
 
Alienda kwenye semina ya malaria mbona hakwenda na waziri husika au ndo kubadilisha damu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
yaani hii picha na title yake,ningekua bi tunu,ningemuambia mume wangu aache kazi! yaani yy anatoka kumkaribisha mtu nyumbani,akija na mie nampokea 'karibu nyumbani baba'? inauma aisee,wengine tuna wivu wa nyau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…