Pinda; iMkuu hii suti mbona sijapata kuiona au jamaa wamekupa zingine? Mkulu; Acha hizo wewe! hiyo sio sera yetu ya kuuliza maswali ya zawadi. Anyway Igunga vipi tena Mbona naambiwa Rage Anatembe na mguu wa kuku nje nje? Pinda: Ahh! kaharibu kweli, sisi tumepakaza kuwa kuna komandoo 33 toka Afganistan halafu yeye analeta mambo ya Mogadishu tena.
yaani hii picha na title yake,ningekua bi tunu,ningemuambia mume wangu aache kazi! yaani yy anatoka kumkaribisha mtu nyumbani,akija na mie nampokea 'karibu nyumbani baba'? inauma aisee,wengine tuna wivu wa nyau!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.