Kama watazima tarehe 26 April sawaTCRA inatazamiwa kuzima Mtandao Nchi nzima ili kufanya Marekebisho kwenye Satelite ikiwa ni utaratibu wao wa Miaka yote kufanya Maintenance tarehe 26 April, 2018
TCRA inawaomba radhi Kwa usumbufu wowote unaoweza kujitokeza
Jipe moyo tu! Hushangai threads za JF zinavyotoweshwa siku hizi ?Hakuna kitu kama hicho
Tarehe 26 mbali sana mbona.TANGAZO KWA UMMA
Tisiara ei inatazamiwa kuzima Mtandao Nchi nzima ili kufanya Marekebisho kwenye Satelite ikiwa ni utaratibu wao wa Miaka yote kufanya Maintenance tarehe 26 April, Kila Mwaka
Tisiara ei inawaomba radhi Kwa usumbufu wowote unaoweza kujitokeza
Nakala: Da Mange
Tarehe 26 mbali sana mbona.
Peleka u mange wako huko...usituletee hapa...sisi wa Tz hatuongozwi kwa remote.Duh! ", sijui itakuwaje aisee hiyo siku ikifika. Although ipo karibu, ila kila nikijaribu kufikiria nitawezaje kumaliza siku yangu bila kuperuzi mitandaoni sipati majibu.
Wewe je umejiandaaje!?
https://www.jamiiforums.com/attachments/tapatalk_1521018739877-jpeg.717126/ huyu hapaHakuna kitu kama hicho
Uzuri hasara ni Kwa wote, hata wao watasimama hawatapata kodi,uchumi utasimama,mawasiliano yatasimama,mifumo ya ulinzi itasimama,nk, ni kama ilivo kanuni ya kusoma namba haibugui,hadi mgawa namba lzm aisome,vyuma vikikaza ukaza kote hadi mfuko mkuu,toka lini ng'ombe akatoa maziwa mengi bila kunenepeswa.Usiposafisha mfereji huwezi pata MAJI mengi.Duh! ", sijui itakuwaje aisee hiyo siku ikifika. Although ipo karibu, ila kila nikijaribu kufikiria nitawezaje kumaliza siku yangu bila kuperuzi mitandaoni sipati majibu.
Wewe je umejiandaaje!?
HaisaidiiKama watazima tarehe 26 April sawa