candiasis
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 371
- 439
Kwahyo bila kuperuz huwez ishi kabisa tuache uzuzu huoDuh! ", sijui itakuwaje aisee hiyo siku ikifika. Although ipo karibu, ila kila nikijaribu kufikiria nitawezaje kumaliza siku yangu bila kuperuzi mitandaoni sipati majibu.
Wewe je umejiandaaje!?
Ngoja nisiongee sana mana wengne ni kizazi cha mkapa na jakaya