Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,564
- 863,246
Najitolea kuwapa hirizi za mvuta washindi woteNapinga kama hakuna kitu chakuwapa basi isifanyike!
Najitolea kuwapa hirizi za mvuta washindi woteNapinga kama hakuna kitu chakuwapa basi isifanyike!
hujaacha tu ushirikina..?Najitolea kuwapa hirizi za mvuta washindi wote
Huyo mzee ushirikiana na yeye ni pete na kidole ila ana hekima nyingi 🤣hujaacha tu ushirikina..?
😅😅😅Naomba viongezwe vipengele vya
26. Changudoa wa kiume wa mwaka.
27. Changudoa wa kike wa mwaka.
Ni ombi tu.