Karibu Kusikiliza Kipindi cha Teknohama - Morning Star FM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu Kusikiliza Kipindi cha Teknohama - Morning Star FM

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Shy, May 15, 2010.

 1. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Napenda kuwakaribisha Kwenye usakilizaji wa Kipindi cha Teknohama Katika Morning Star Radio 105.3 fm hapa jijini dare s salaam kuanzia saa 3 Asubuhi siku ya jumapili yaani Kesho .

  Kesho tutaongelea masuala ya Ulinzi na Usalama haswa kwenye mambo ya Programu kama Antivirus na mengine mengi , karibu sana kwa kuuliza maswali ambayo yatakuwa tutajibu moja kwa moja , maoni na ushauri mwingine ambao utauweza kuutoa kwenye kipindi hicho .

  Karibu tutumie nafasi hii katika kuelimisha jamii yetu kuhusu masuala mbalimbali ya teknohama Tena kwa lugha yetu Nzuri ya Kiswahili .
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  May 16, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo Star Radio 105.3 fm mbona siipati au ndio inaishia Magomeni?
   
 3. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Ndugu Zangu Unaweza kusikiliza kipindi hicho hapa RapidShare: 1-CLICK Web hosting - Easy Filehosting Kisha Konga Free User Itaanza kuhesabu sekunde kisha Unabonyeza Download ili uweze kujipatia Nakala yako

  Karibuni tena kwa Maoni na Kushiriki kipindi cha Teknohama wakati mwingine
   
Loading...