Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,894
- 99,962
nishajua sasa...Saint Ivuga atakua anahusika na ufisadi sehemu..si bure..fuba lote hiloo
duh..... no comment!hapo vipi?
View attachment 47547
Lazima damu itakuwa imemwagika hapo
Hapana mkuu watu wengi hufanya kafara ili wapate mapene nimejaribu kuexpress mawazo ya waafrika.
Hili ntahudhuria hata bila mualiko aisee...nimesisimkwaje!
Usicheze na nguvu ya dola kuna changu mgeni alitoa huduma usiku kucha kwa dola 5 kesho yake alipoambiwa thamani na rafiki zake akazimia.Na wewe unazitaka hizi?
Usicheze na nguvu ya dola kuna changu mgeni alitoa huduma usiku kucha kwa dola 5 kesho yake alipoambiwa thamani na rafiki zake akazimia.
We acha tu watu wamesikia dola ina thamani hawajui zinatafautiana ndio maana watu walipigania shaggy alipowatupia dola moja moja kibao kwenye show hapa bongo.hahaha ..wengine hawajui kuwa hizo zinaweza zikawa ni dola moja moja
Uwiiiiii can I be ur guest?