:lol: Boss bwana tulienda nae vizuri tu ila tulipofika Java Lounge kwanini aisgome kuondoka baada ya kuona..point 5 wako pale akaniambia mimi nitangulie atanikuta tu
Ama kweli mtoto umleavyo...... Yaani kaacha mapochopocho haya yote nyumbani kaenda kula kauzu wa chumvi bila mafuta kwa majirani?
Naanza kuwapika na mie. Ukimuona popote aliko mwambie arudi tu nimemsamehe hata kabla hajaomba msamaha.
Siku nyingine sikuruhusu kutoka naye tena
:lol: Boss bwana tulienda nae vizuri tu ila tulipofika Java Lounge kwanini aisgome kuondoka baada ya kuona..point 5 wako pale akaniambia mimi nitangulie atanikuta tu