hahahahaha! Ile ni special offer kwa TF, yaani TF tu. Lol. Maua ukiyachuma utaharibu mazingira mj.
Husninyo.................hujui unatakiwa kumpamba Kaimu Sofa wako ? We vipi bana huoni kama atang'ara zaidi akitokea kwenye hafla na ua mojawapo, la rangi mojawapo?.....................isitoshe maua ndo kazi yake kutupambia sio kuyaacha bustanini bana! :tongue::tongue:
Mkuu unanitonesha kidonda asiee hahaha....nimeongea na Husninyo nipate eneo la kuwekeza nitakuwa namlipa mrahaba wa aslimia 50 kila mwezi...lol
Wakati ukipanga kumlipa mrahaba lazima ufikirie aslahi yangu kama kiongozi vinginenyo ntamuita Kongoshao aje kuwekeza ikiwa atakubali kulinda interest zangu! lol!:lol:
Mwambie asiyaguse Jumatatu naenda ofisi ya Waziri Mkuu kuyachukulia kibali
TF tangu lini umeingia kwenye siasa za KIKABAILA...................yaani unataka kujimilikisha maua yoooooooote yale peke yako?:A S embarassed:
Nitakuundia tume!:ballchain:
kumbe tf mbunge? all the best mjengoni tf
Oooh YES TF ni Balozi wa kudumu wa JF MMU hapa Capital City.................ametunukiwa juzi tu hiki cheo!:biggrin:
Mbona mm hamkunipitia jamani? Nilikuwa chako ni chako
Mitandao yak ya SASATEL na BOL haikamatiki huku bana..............:A S 465:
Kha? Mwambie bana anajua ni "zawadi" gani waihitaji?
kumbe upo dodoma hotel nakuja hapo sasa hv
Weye Smile umekuja na usafiri wa treni ukashukia Makutupora nini? ................Mbona hujafika mpaka sasa?:lol:
maua yako nakulindia, uwe unalipa bill ya maji ya kuyamwagilia yasije yakanyauka. Lol.
Kama Acting Sofa.........nitawanyimeni kibali cha kuendesha biashara katika eneo langu...............ohoooooo:hatari:
Haya ngoja nizitayarishe basi
Asa Husninyo anagempa nini ikiwa hukumwandalia mwanzo?:biggrin:
Ha ha ha, eti na safety boots usisahau, ana matani ya ukweli jamani
Useful point and taken and used!:nerd:
Husninyo mwakani siku kama ile si mbali sana.................cheza karata zako vizuri!:lol: