habari...kwa ambae atapenda kuja kusoma NIT...nipo tayar kujibu maswali yenu...ila cna uelewa mzur na upangaj wa grades za ufaulu za mwaka huu
karibuni
Dah wadau me nliomba iyo course ya logistics and transport management bt dakika za mwisho sielew nin kimetokea kwnye account yang ya TCU nimekuta the first selectn ni procurement and logistics management instead of logstics and transport management. So nimeshindwa kubadili tena mana tayar deadline ndo ishapita swali langu Je...!! Nkichaguliwa ntaweza kubadili kutoka procurement kwenda kwny course nlokua naitaka please naombeni ushauri wenu ndugu zangu......
Nyoosha maelezo mkuu au ulikosea code no?
vipi wewe ni 4m6 leaver 2014?