kunahi course ya bachelor degree in education with mathematics and information technology mbona haipo kwenye prospetus? na niyamiaka mingapi?
Kwani unareport kabla ya tarehe 16 ama tarehe hiyo ndio unaaza kureport? Me joining. Instruction ninayo tayari
Mimi nmechaguliwa niliwaendea hapo chuoni kuchukua joining,pia kuchukuliana inakubalika.
jaman naomba mawasiliano kwa mtu aliyechukua joining instruction hapa chuon ili niweze kumuuliza kwan mi npo mbali na dar
Karibuni NIT
Asante registration unafanya baada ya chuo kufunguliwa au kabla?, Naomba kujuzwa
Hivi hapo NIT wana masomo ya jioni kwa wanaofanya kazi..?
Kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chuo cha Usafirishaji cha Taifa kimepewa dhamana ya kuendesha mafunzo ya kozi mbalimbali kuhusu usafiri na usafirishaji pamoja na kozi kuhusu wahudumu wa ndege kuanzia ngazi ya cheti hadi ngazi ya juu.
Ukiwa mwanafunzi wa NIT unaweza kuwa sehemu ya kukisaidia chuo kuwa na mafanikio bora. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Chuo cha Usafirishaji cha Taifa.
======================================
======================================
Tovuti ya Chuo: http://www.nit.ac.tz/