[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tupu...watu wengine huwa wanachagua chuo kizuri na sio program nzuri itakayompa maisha mazuri just after graduation.....dume ni wa irigarion eng tena atamuoa huyo wa baed bila kipingamizi
Mkuu me nimechaguliwa hydrology and meteorology[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli tupu...watu wengine huwa wanachagua chuo kizuri na sio program nzuri itakayompa maisha mazuri just after graduation.....
Kama umechagua water resources and irrigation engineering... Big up coz it is the best selection
GoodMkuu me nimechaguliwa hydrology and meteorology
Mkuu me nimchaguliwa kupiga apo kpiga bachalor vip khusu hostel zipo au majanga tuuuMkuu me nimechaguliwa hydrology and meteorology
Jombaa hostel ni majanga tu nmewaulza wakuu wanasema huwa inatokea baht kwa watu bachelor kupata hostel....kama vipi ni pm tufanye mchakato wa geto maana hakuna njia nyingine zaid ya kupangaMkuu me nimchaguliwa kupiga apo kpiga bachalor vip khusu hostel zipo au majanga tuuu
Kaka me mwenyewe first year Sema wanatoa accommodation ila Kwa jinsi nilivyoisoma ni 20000 Kwa mwez. Kwa maelezo ya ziada download joining instructions ipo kwenye website Yao. Ingawa nahisi mpaka Sasa zitakuwa zimejaa. Ni kujiandaa tuMkuu me nimchaguliwa kupiga apo kpiga bachalor vip khusu hostel zipo au majanga tuuu
Week moja kabla ya TAREHE 20Jamani matokeo lini?
Upo water quality?Jamani matokeo lini?
Acha kulinganisha udsm na huo upuuzi wa maji! Halafu nyie mnaojifanya wanasayansi wa Tanzania mmegundua nini cha kulisaidia taifa? Kwa taarifa yako wengi wanaosona udsm baed/bed wana credit za maana za masomo ya sayansi o- level kuliko nyie vilaza! Eti d mbili unachukuliwa! Ndio nini hiyo kama siyo mapuuza.kwa mfano umechaguliwa udsm Bed na mwingine irrigation eng wdmi nan dume?
UDSM =D ni civil tu Ndo hataolewa wengine wote wachumba kwa water resource and irrigation engineering.dume ni wa irigarion eng tena atamuoa huyo wa baed bila kipingamizi
dume wa irrigation utaolewa burekwa mfano umechaguliwa udsm Bed na mwingine irrigation eng wdmi nan dume?
Jombaa hostel ni majanga tu nmewaulza wakuu wanasema huwa inatokea baht kwa watu bachelor kupata hostel....kama vipi ni pm tufanye mchakato wa geto maana hakuna njia nyingine zaid ya kupanga