Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,998
Bora umepata kazi maana ulikuwa chawa wa CCM hatariKwa upande wa hydogeology ishu nyingi zipo bonde la ruvuma na pwani ya kusini pamoja na bonde la tanganyika.so itategemea mwanao akifaulu interview atapangiwa wapi na katibu wa wizara ......Mimi kwetu nafasi zilikuwa nne alafu waombaji 41....na zikatoka hizohizo nne... wengine inaoneokana wapo kwenye kanzidata ya sekretariet ila sijui lini watapangiwa vituo
jiwe angavu