Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

Mwenye kujua tuition fees chuo cha maji ubungo wdmi kwa degree naomba anijuze
 
Mkuu pole kwa kuchelewesha Majibu:

Mchanganuo ni huu hapa:
  1. Tuition Fees: Tshs 1050, 000
  2. Registration: Tshs 20, 000
  3. Caution Money: Tshsh 30, 000
  4. Medical: Tshs 20, 000
  5. ID: Tshs 15, 000
  6. Examinations: Tshs 120, 000
  7. Library mambership: Tsh 5, 000
  8. Students' union: Tshs 10, 000
  9. Student's relief fund: Tshs 10, 000
 
Mwenye kujua tuition fees chuo cha maji ubungo wdmi kwa degree naomba anijuze

Mkuu pole kwa kuchelewesha Majibu:

Mchanganuo ni huu hapa:
  1. Tuition Fees: Tshs 1050, 000
  2. Registration: Tshs 20, 000
  3. Caution Money: Tshsh 30, 000
  4. Medical: Tshs 20, 000
  5. ID: Tshs 15, 000
  6. Examinations: Tshs 120, 000
  7. Library mambership: Tsh 5, 000
  8. Students' union: Tshs 10, 000
  9. Student's relief fund: Tshs 10, 000
 
Pre entry course kwa higher diploma huanza lini na huisha lini?? Na gharama zake zikoje ??
 
Naomba kuuliza..hyo pre-entry...inakuaje kuna uwezekano kufauru kweli maana kozo yenyew miez miwili na wiki mbli...topic n zipi hzo...
 
Kozi ya pre- entry ni miezi miwili na wiki mbili..xaxa ni topic ngapi na ni zipi kwa masomo yote..na je wanatoka kweli
 
vigezo vikoje cha chuo cha maji ubungo na vp ukimaliza kuna ajira mana me nimemalza mwaka jana na nina credit 2 kwa hyo msaada jaman
 
vigego vikoje mana mdogo wangu kamaliza mwaka jana na akapata credit 2 je anaweza jiunga hapo kwenye chuo cha maji na akimaliza anaajiriwa serikalin jumala msaada jaman
 
Kwa mtu aliyemaliza form four ni vigezo gan vnavyohtajka? aliyemalza form six je?
 
majibu ya vigezo ni muhimu sana wakuu mwenye kujua tafadhali.
 
Mchanganuo ni huu hapa:
1. Tuition Fees: Tshs 1050, 000
2. Registration: Tshs 20, 000
3. Caution Money: Tshsh 30, 000
4.Medical: Tshs 20, 000
5. ID: Tshs 15, 000
6.Examinations: Tshs 120, 000
7.Library mambership: Tsh 5, 000
8. Students' union: Tshs 10, 000
9. Student's relief fund: Tshs 10, 000
 
Kuna bwana mdogo ana chet kilimo level-5. anataka aspecilize irrigation sasa hapo anaomba dip au chet na akiomba dip miaka ni 3.?
 
vigezo vikoje mana kuna dogo ana credit 2 anaweza jiunga na chuo na je akimaliza anaajiriwa serikalin plz msaada
 
Wakuu kwa wale wanaokifahamu au waliochaguliwa kwenye chuo hiki. mimi nina mdogo wangu kachaguliwa hapo wdmi.

Nisaidieni Gharama kwa ujumla au fee structure. Pia ningependa kujua chuo kinafunguliwa lini. Na je utaratibu kwa wale wanaochaguliwa na serikali kama yeye (kahitimu kidato cha nne mwaka jana) kachaguli kozi inaitwa WS (SIJAIFAHAMU BADO) Gharama zao zinakuaje?

Natanguliza shukrani.
 
Nyie Jamaa Mkoapi? Njooni tusaidiane baadhi ya taarifa hapa wakuu
 
Wakuu kwa wale wanaokifahamu au waliochaguliwa kwenye chuo hiki. mimi nina mdogo wangu kachaguliwa hapo wdmi. Nisaidieni Gharama kwa ujumla au fee structure. Pia ningependa kujua chuo kinafunguliwa lini.. Na je utaratibu kwa wale wanaochaguliwa na serikali kama yeye (kahitimu kidato cha nne mwaka jana) kachaguli kozi inaitwa WS (SIJAIFAHAMU BADO) Gharama zao zinakuaje?

Natanguliza shukrani.


WS ni course ya Ordinary Diploma in Water Supply Eng, miaka mitatu.Kwa ninavyojua waliochaguliwa na serikali wanakuaga na program inaitwa costs sharing, serikali inamlipia some percentage ya ada na inampa hela ya kula, ila sijui exactly ammount.

Ikiwa private anajilipia total Tsh mil 1.2 hivi kwa mwaka include hostels kasoro tu hela ya kula anajitegemea.

Kama unataka info zaidi uliza.
 
Back
Top Bottom