tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
Jombaa hostel ni majanga tu nmewaulza wakuu wanasema huwa inatokea baht kwa watu bachelor kupata hostel....kama vipi ni pm tufanye mchakato wa geto maana hakuna njia nyingine zaid ya kupanga
Jombaa hostel ni majanga tu nmewaulza wakuu wanasema huwa inatokea baht kwa watu bachelor kupata hostel....kama vipi ni pm tufanye mchakato wa geto maana hakuna njia nyingine zaid ya kupanga
Nenda kasoma kijana,chuo cha Maji kinalipa pindi umalizapoNapenda sana kusoma ubungo maji ila miaka 4 duuu!
Kwa mimi niliesoma HGL nafaa kujiunga hapo chuoni ngazi ya diplomaAsanteni Wadau wetu wa Chuo cha Maji kwa maoni na Maswali mbalimbali. Mnaweza kuuliza zaidi maswali hapa tukasaidiana kujibu.
Tunaangalia matokeo yako ya kidato cha nne na sio cha sita kwa diploma. Mwanafunzi awe na ufahuru wa atleast C moja na D tatu katika masomo ya science ya Physics, Chemistry, Biology, Mathematics na Geography.Kwa mimi niliesoma HGL nafaa kujiunga hapo chuoni ngazi ya diploma
Uliza hapa hapa kila kitu utajibiwa. Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa email: rector@wdmi.ac.tz au namba ya simu +255222410040Kwa ambae ana soma chuo cha maji tafazali ni txt nikuhoji baazi ya vitu nahitaji kujiunga pale 0767799493
Hiyo kozi ni kwa wanaume tuu.kwa mfano umechaguliwa udsm Bed na mwingine irrigation eng wdmi nan dume?
Mwenzako alikuwa na ndoto za coet akaishia geti maji. Ww unamponda mtu wa BAED UDSM labda katimiza ndoto zake. Hivi wakija udsm students humu si watakuita kilaza wa kiwango cha lami.hawawezi fanya hivyo coz kiko chini ya wizara i think .by the way tupo pamoja. Mazingira yakoje ?
Huu uzi sio wa malumbano habari zako za inferiority complex acha kwenu na kama ulikosa nafasi ya UDSM kua mpoleHarafu ni watu wanaopiga kitabu kweli sio kama UDSM misifa kibao lakin wanaosoma ubungo maji wametulia sana hadi raha kwakweli
Mimi sijaelewa jambo dogo tu.
Kiwango gani cha alama kinamwezesha mtu wa kidato cha nne kuanza na diploma moja kwa moja bila kupitia certificate?
Matokeo yang kidato cha nne ni hayaTunaangalia matokeo yako ya kidato cha nne na sio cha sita kwa diploma. Mwanafunzi awe na ufahuru wa atleast C moja na D tatu katika masomo ya science ya Physics, Chemistry, Biology, Mathematics na Geography.
Vilevile mwanafunzi asiwe na F ya Mathematics na maelezo kutoka NACTE, mwanafunzi ili ajiunge na Chuo chochote cha Diploma, lazima awe na D nne katika matokeo yake ya kidato cha nne.
Matokeo yang kidato cha nne ni haya
Geog C
Hist C
Maths D
Biology C
Engliash D
Civics D
Kiswahili C
Naweza kusoma chuo cha maji
Na je ada kwa masomo ya diploma ni shilingi ngapi?Na course ni miaka ngapi?
Ndio inawezekanaAnaweza kusoma course ya Hydrogeology and Well Drilling au Hydrology and Meteorology.
Ada na michango mingine unaweza kuipata kwa kudownload form katika website ya Chuo.
Course zote ni miaka mitatu.
Asante.
Asante sana mkuuNd
Ndio inawezekana
Je kwa matokeo haya ya kidato cha NNE naweza kujiunga apo,math C,geo C,bios C,chem D na phyz F, je vigezo vinaniruhusu kujiunga apo?????Asanteni Wadau wetu wa Chuo cha Maji kwa maoni na Maswali mbalimbali. Mnaweza kuuliza zaidi maswali hapa tukasaidiana kujibu.
Na pia ni course ipi kwa apo ingenifaa kwa ufaulu huo,kama vigezo ntakuwa navyo mkuuJe kwa matokeo haya ya kidato cha NNE naweza kujiunga apo,math C,geo C,bios C,chem D na phyz F, je vigezo vinaniruhusu kujiunga apo?????